JINA JIPYA LA JACOB STEVEN(JB) LA MPA TUNZO ZIFF 2011

Jacob steven (JB) na jina jipya la Eric Ford mtaani na ndilo lilompatia tuzo ya mwigizaji bora wa wakiume mwaka huu kutokana na kazi yake mahiri ya SENIOR BACHELOR akishirikiana na wadada machachali, Iren Uwoya, Jackline na wengine wengi chini ya kampuni ya kutengeneza na kusambaza  filamu nchini Steps Enternments kwenye tamasha kubwa afrika mashariki lijulikanalo kwa jina la zanzibar film festival (ZIFF) ambalo hufanika kisiani zanzibar kila mwaka na kupambwa na burudani kadha wa kadha ikiwemo maonesho ya filamu na muziki asili na wa kisasa wa ndani ya afrika mashariki na nje pia na burudani zote hizi huambatana na mafunzo ambayo hutolewa bila malipo ya aina yeyeto kwa wadau na wasanii kutoka kwa wakufunzi na waasisi katika saana hii..

Posted by Bongo Film Data Base on 10:40 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for JINA JIPYA LA JACOB STEVEN(JB) LA MPA TUNZO ZIFF 2011

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign