UKAHABA WA MAGAZETINI WAVURUGA MKUTANO WA TAFF NA WADAU PAMOJA NA WASANII PALE LEADERS CLUB

Jamani hasira kitu kimoja cha ajabu sana kwa mwanadamu yeyote na asikwambie mtu bwana haijarishi ni mwana mke ama mwanaume ndungu yangu mwanadada jackline wolper alisibitisha hili wazi kuwa yeye ni mmoja ya watu wenye hasira kuyaruka maelezo haya na kupita wadada wote waliotajwa pale kwenye mkutano uliyofanyika leo kwenye viwanja  vya wazi leaders club kuzuungumzia mikakati ya taff misimamo na tofauti zilizopo kati ya taff na bongo movie club iliyo jaa masta watupu na baada tu ya  jackline kutajwa kuwa ni mmoja kati ya wadada wanaojiuza kupia magazeti ya udaku na kupata wanaume matajiri kupitia usuper star anaopata kwenye filamu anazocheza hapa bongo..wolper alijiaamini kupitiliza kuchukuwa uamuzi kumpandia rais wa taff moja kwa moja pale jukwaani alipokuwa anahutubia wamati uliyokuwapo pale viwanjani...

Posted by Bongo Film Data Base on 11:41 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for UKAHABA WA MAGAZETINI WAVURUGA MKUTANO WA TAFF NA WADAU PAMOJA NA WASANII PALE LEADERS CLUB

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign