JUA KUANDAA EFFECTS ZA BILA GHARAMA KWENYE FILAMU YAKO
4:08 PM
KUNA EFFECTS AINA NYINGI SANA ZISIZO HITAJI KUTUMIA PESA KWA KIASI KIKUBWA KUZIANDAA NA KULETA MWAMKO WA HISIA KWA WATU KAMA ILIVYOKUSUDIWA NA MTUNZI WA HADITHI HUSIKA KWA JAMII HUSIKA. HII NI MOJA YA VIDEO FUPI ZINAZOONESHA NAMNA YA KUTENGENEZA EFFECT KWENYE FILAMU ZENYE BAJET NDOGO ILA ZENYE UBORA MZURI...
![](http://1.bp.blogspot.com/_MsaNQZtvB5E/StANlDhWFgI/AAAAAAAAAKA/8p5PORokslI/S220/normal_HNH_9244-sapa0207.jpg)