''TANGAZO KWA WADAU NA WASANI WOTE FILAMU''
11:56 PM
LEO TAREHE NNE(4) MWEZI WA KUMI NA MOJA KWENYE MAJIRA YA SAA TISA ALASIRI KUNA MKUTANO WA DHARURA WA WADAU NA WASANII WOTE WA FILAMU KITAKACHO FANYIKA PALE UKUMBI WA VIJANA SOCIAL HALL ULIOPO KINONDONI BARABARA YA KWENDA MWANA-NYAMALA.
AGENDA KUU YA KIKAO HIKI NI AFYA YA MSANII WA FILAMU KWA JINA MAARUFU HUITWA SAJUKI(JUMA KILOWOKO).. MSAADA WAKO WA HARAKA UNAHITAJIKA SANA, TAFADHARI USIKOSE NA MFAHAMISHE MWENZAKO PIA.
KARIBUNI SANA KWANI UMOJA NDIYO NGUVU YA MSINGI KWA JAMBO LOLOTE NA TUKISHIKAMANA NA UMOJA HUO HATUSHINDWI JAMBO .
UJUMBE KUTOKA KWA SUZANI LEWIS(NATASHA) NA KUSAMBAZWA NA BONGO FILM DATABASE...
Asante..
Posted by Bongo Film Data Base
on 11:56 PM.
Filed under
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0