MAGIC MONEY SOKONI HIVI KARIBUNI.(bofya hapa kuona trailer)
habari, mpya, slide 8:49 AM
'PESA SHETANI ASIYE EPUKIKA KATIKA DUNIA HII YA SASA NA USIOMBE ABISHE HODI NDANI YA FAMILIA KABISA'' ...KUMKANYWA NA KUPEWA TAHADHALI KWA MTU NDIYO KUMTIA HAMASA NA MUWASHAWASHA KUITIKIA KIU YA NAFSI YAKE YA TAMAA YA PESA NA HAPO MAISHA YA KUKIMBIA DAIMA HUANZA NA NDIYO MATOKEO YAKE KAMA SIO KUKOSANA NA NDUGU AU MPENZI/MUME/MKE WAKO...MTIZAME BINTI HUYU NAMNA NDOA YAKE INAVYO TIBULIWA NA SHETANI (PESA)
CAST
Daudi Michael (DAUDI)
Hemed Suleiman (ERICK)
Halima Yahaya (SANTANA)
Msafili Njechele (BUGO)
Ibrahim Lipili(NYANGO)
Ratifa Idabu (BADRA)
STORY
Daudi Michael
SCRIPT
Daudi Michael
EXCTIVE PRODUCER
D.Production
(A DAUDI MICHAEL FILM PROMO)
Powered by Bongo Film Data Base