yes bado tunajipanga ili kuja kufanya vizuri zaidi, kama mnavyoelewa hivi sasa tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kuhakikisha tunalinyanyua soko la filamu ili tufike sehemu ambayo hatutakuwa na tofauti kati ya filamu za holwood na sisi wa bongo... naimani tunaweza au mnaonaje?
Wow!!!
wa bongo tunapiga hatua sasa kwenye effects....na nina imani waandaaji wa hii mambo bado wanajipanga kufanya zaidi ya hapo...