MAKEUP NA MAVAZI WAKATI WA UPIGAJI PICHA NYOGOFU(FILAMU)


Makeup kwa ujumla wake unaweza kusema ni kitu chochote kitakachotumika kwenye uso au ngozi ya msanii kwa nia na madhumuni ya kuupata mwonekano fulani unaokusudiwa. wasani wote hufanya makeup pindi wanapokuwa mbele ya kamera,

Malengo mahususi ya kufanya hivi ni kuhakikisha wasani wanakuwa katika mwonekano mzuri
,wakati mwingine msanii afanyiwapo makeup tu basi mwonekano atakao onekana nao sasa utaelezea moja kwa moja tabia tofauti tofauti za watu bila hata ya msanii kuanza kuigiza tabia husika ,kwa mfano IREN UWOYA kwenye video ya tax bubu ya matonya alipaka alipataka lip shine,poda na eye shadow kwa kiasi kingi kiasi moja kwa moja mtu humtambua msanii mara moja kuwa anacheza scene ya changudoa.

kwa hali isiyo kuwa ya kawaida kabisa au hata katika mazingira makugumu kiasi gani kwa duni hii ya sasa kuweza kupata kupiga picha jini,mwenda wazimu,changudoa au kiumbe chochote kisichokuwa cha kawaida na kikakuelewa na hata kwenda nawe sawa bila ya kukuletea madhala.Ila makeup inaweza kukutengenezea mwonekano wa aina yeyote ile unayoitaji madamu uwe na ujuzi wa kutosha kama sio ufahamu wa kle unataka kukufanya ndani ya nusu saa ijayo kabla msanii yajaigia eneo la kipigia picha....

KWA LEO NTAISHIA HAPO NA MAKEUP, NTAENDELEA TENA SIKU INAYOFUATA KWA KIREFU ZAIDI NIKIAMBATANISHA NA PICHA ZA MAKEUP PAMOJA NA MAVAZI SAHIHI WAKATI WA UPIGAJI PICHA ZA FILAMU

Posted by Bongo Film Data Base on 1:08 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

1 comments for MAKEUP NA MAVAZI WAKATI WA UPIGAJI PICHA NYOGOFU(FILAMU)

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign