Matengenezo yanaendelea

Ndugu wasomaji wa Blogi hii iliyosheheni taarifa za kila aina kuhusiana na tasnia ya filamu katika Tanzania, tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza kwenu hivi sasa, kutokana na matengenezo yanayoendelea kufanywa katika maskani hii.

Jopo letu la ufundi linafanya kazi usiku na mchana kuona kuwa Bongo Film Database Blog, inakuwa na mwonekano ulio bora zaidi sanjari na kukupa urahisi wa kuona kila kitu kilichoandikwa humu. 

Posted by Bongo Film Data Base on 1:29 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Matengenezo yanaendelea

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign