WINO WA MWANDISHI

MZEE MAJUTO: WASANII WOTE HUSAFIRIA NYOTA YANGU

Iko wazi kabisa si kipaji tu cha mzee majuto ndicho wasanii wenzeka katika tasnia ya maigizo hapa nchini wanakihitaji katika filamu zao...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi
WINO WA MWANDISHI

MJUE VILIVYO HASHIM KAMBI

Kama unafuatilia sanaa ya filamu nchini Tanzania, sina wasiwasi kwamba sura unayoiona hapo juu unaitambua. Unachoweza kuwa hukijui ni j...

09 Aug 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

UJUE VILIVYO WASIFU WA YVONNE CHERRYL / MONA LISA (BIOGRAPH)



Yvonne CherryL


An award-winning actress and director whose eyes peer directly into the souls of audiences on screen.
From an early age, Yvonne CherryL exhibited a talent and propensity for the arts; while in school, she began her career, appearing in commercials and productions at a stage company

Yvonne began acting in Kenya & Tanzania professionally around the age of 16, though she studied filmmaking at the famous Wilnag Film institute, the prospect of becoming an actress was always her dream.
Her 1998 powerful performance as a young lady struggling to reconcile her life with her multiple lovers, in the acclaimed series "Mambo Hayo" where she got her nickname "Mona Lisa”

The beautiful, Yvonne then resumed acting, appearing in a major role in the stage play Government inspector "2001_ followed by “Zawadi Ya Ushindi" in 2002 before resuming her feature film career".

Yvonne's screen charisma was obvious at herfeature screen debut "Girlfriend." (2002), where she played Tumpale who is forced to turn to her life around after being kicked out by her dad for seducing the maid against theirpro-xtian ideals



Filmography 
  (WASIFU  WAKISANAA)
 FILAMU ALIZOCHEZA NA KUHUSIKA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE

Black Sunday ,Filamu iliyompatia tunzo ya msani bora tanzania mwaka 2010 kutoka  ZIFF.

Binti Nusa 2 & 3---2011 Filamu Central Award Best Actress in Tanzania. A CCL Production na zifuatazo;




Payback
Nimeokoka 
Cellular
Wrong Number
Wedding Pressure
Behind The Scene
Who is Smarter
She is My Sister aliyoigiza na  mmoja ya masta wakubwa toka naija, Mercy Johnson  chini ya mwogozaji (Director)--Femi Ogedegbe toka Nollywood huyo hapo kulia kwenye picha.

Dilemma
Sabrina
Girlfriend
Pastor Myambas Trial
“38 Weeks”
Tell Me The Truth

Directorial Credits 
Kaburi 1. ……………………………...2007
Chanzo Ni Mama …………...……..2007
Binti Nusa 1. ………..……..…2008
Where is God..……..……………….2009
Binti Nusa 2 &3………….....2010-------One of ZIFF 2011Swahili feature Films.


 * KWA ASILIMIA NYINGI MSANII MZURI HUPASWA KUCHEZA MICHEZO YA JUKWANI PIA, KITU AMBACHO KINAMWONESHA MSANII KUKUA KISANA ZAIDI, KWA UPANDE WA YVONNE CHERRYL AMEFANIKIWA KUSHIRLKI MICHEZO YA JUKWAANI IFUATAYO;

Stage Plays

A Man of The People -----------------Kenya National Theatre (Nairobi, Kenya)
Dont Dress For Dinner --------------Russian Cultural Centre (Tanzania)
The Song of Lawino ------------------Little Theatre (Tanzania)
Zawadi ya Ushindi ------------------- ZIFF (ZANZIBAR
The Govt Inspector -------------------Bagamoyo Art Festival

TV Commercials
MATANGAZO YA KIBIASHARA ALIYOWEZA KUFANYA MPAKA SASA

Heineken-------------------------------2001
Assas Diary Milk ---------------------2002
Comfy-----------------------------------2010

Awards 

TUNZO MBALI MBALI ALIZOFANIKIWA KUPATA

Nigeria Entertainment Awards--Best Pan African Actress Nominee, Sep. 2011 New York, USA

Zanzibar Int Film Festival----Best Tanzania Actor 2010
Filamu Central..……Best Tanzania Actress 2010
KIU Media-----Queen of Bongo Films 2008

NA TUNZO KUBWA NA MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKE YA KISANAA NI HII AMBAYO HIVI KARIBUNI  ATAKABIDHIWA  YA HESHIMA  KUBWA YA KUITANGAZA TANZANIA  VIZURI  NCHI YETU KIMATAIFA IJULIKANAYO KWA JINA LA TANZANIA WALK OF FAME 2011 ILIYOANDALIWA NA GLOBAL PUBLISHERS. 

Interests:
Yvonne cherryl mbali na maisha ya kisanaa hupendelea kutimiza wajibu wake kama mzazi,kusafiri, kupika, kutizama televisheni na kubadirishana mawazo na watu awapendao

alizawaliwa  mwaka 1981tarehe kumi na tisa 19 mwezi wa nane  nchini Tanzani ndani ya Afrika Mashariki na ana mchumba kwa sasa.                    (  Engaged)

KIPINDI AMBACHO KAMWE HATAKISAHAU NDANI YA MAISHA YA UIGIZAJI

                (Milestones)

·         1.      Ushiriki wake kwenye Tamthilia ya Mambo Hayo aliyocheza kama Mona Lisa mwaka 1998

2.      Ushiriki mwingine kwenye filamu iliyofanya vizuri sana kwenye miaka ya mwanzo ya 2002 iliyoitwa ''Girl friend''




3. Kuongoza na kucheza uhusika mkuu kwenye filamu aliyocheza na watu anaowaheshi sana ,mama yake mzazi Susan Lewis na Hashimu Kambi filamu ya Binti Nusa sehemu ya kwanza. mwaka 2008

4. Kushiriki kama mhusika mkuu wa pili kwenye filamu ya nimeokoka ambayo ilikuwa katika nyanja ya kidini na ilimpatia sifa nyingi sana toka kwa kundi la dini .kwa kile alichokifanya  ..


5. Mwaka 2010 akaimarisha nguvu kisanaa pamoja na mama yake na kuandaa Binti Nusa sehemu ya pili na ya tatu ambayo aliaanda na kuiongoza pia

6.  aliweza kuandaa kipindi cha luninga cha ''Bongo Movies''

7. kikubwa zaidi alipata nafasi ya kushiriki kwenye moja ya filamu iliyotayarishwa na watarishaji kutoka Hollywood inayoitwa Bleeding Sunshine ambayo imetayarishiwa nchini Ghana mwaka 2011 


Yvonne cherryl kwa sasa ni mwongozaji wa filamu kwenye moja ya kampuni za uzalishaji filamu hapa nchini
Cherrie Company Ltd (CCL). 
  

Kwa mawasilano na namna ya kumpata mwigizaji huyu;

          Cherrie Company Ltd (CCL),Tanzania
                   ceo.cherriecoltd@gmail.com
                           Facebook Link:
                            Reelscenes from her Nollywood---Bongo movie: “She is my Sister”

Reel Scenes from Binti Nusa:
Produced & Directed byYvonne CherryL 
                Exec. Producer: 

          Management: 
Prince Richard, Hollywood, Florida
                                                               +1 954 338-1533 / +233 244 740896

“By the time she appeared in Binti Nusa 2 & 3, Yvonne had been singled out by her peers and critics as one of Africa’s brightest stars. YCL”s strong performance in the film only helped to corroborate that sentiment”=====èSidra Smith>Director
“Copyright © 2011Richard Nwaobi-E



IMEANDALIWA NA YVONNE CHERRYL NA KUCHAPISHWA KWA MARA YA PILI NA BONGO FILM DATA BASE.

Posted by Bongo Film Data Base on 12:45 PM. Filed under , , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for UJUE VILIVYO WASIFU WA YVONNE CHERRYL / MONA LISA (BIOGRAPH)

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

HABARI MPYA INAVYOSEMEKANA WADAU
KUTA ZA FACEBOOK

WASAMBAZAJI HEWA

Wasambazaji hewa ni yupi kati huyu? A.Steps B. Proinkiini cha taarifa za filamu bongo...

19 Jun 2016 / 0 Comments / Soma zaidi

FILAMU ZA BONGO NI MAIGIZO YA MAISHA YA WAPI?

kiini cha taarifa za filamu bongo...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi

YASEMEKANA HUU NDO MWANZO NA ILIPOANZIA VAMPIRE DIARIES

The Vampire diaries tamthilia yakusisimua sana iliyojizolea mashabiki kibao hapo nchini na mataifa mengi dunia inasadikika kuwa mwanzo w...

28 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

BADO SIKU CHACHE TU! karibuni wadau wote

Asanteni sana wadau wetu kwa kutuunga mkono siku zote hizi tangu tuanzishe kurasa wetu huu wa Bongo Film DataBase..Tumesikiza na tuanyafa...

25 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
FILAMU MPYA

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

SIMULIZI

SIMULIZI SEHEMU YA PILI

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA..Bofya kiunga h...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI NA ADELA KAVISHE

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA.. Bofya kiu...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
BOLLYWOOD

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi
BONGO MOVIE

MONALISA, KING MAJUTO NA BARAFU NDANI YA DALADALA MOJA

Mwigizaji Yvonne Cherryl au mwite Monalisa kupitia ukurasa wake facebook amepost picha kadhaa zikimwonesha yeye na waigizaji wenzake...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

DUME JEURI NI MKOMBOZI NA IMEIBUA HISIA CHANYA KWA WALIOPUUZWA

Uwezo wa msanii huzihilika pale apewapo nafasi bila kutiliwa shaka nae hujisikia ni msanii muhimu kwenye kuikamilisha filamu mpaka i...

25 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
SERIES KALI

ZIJUE SERIES ZILIZOTAMBA NA ZINAZOBAMBA KWA SASA UKIANZIA NA YA ARROW ( Eps 1 )

Katika nyumba tano hapa mjini kwa sasa iishiyo vijana wapendao filamu zitokazo hollywood basi nyumba mbili kama sio tatu katika ya hizo ...

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO JIFUNZE NAMNA YA KUANDIKA NA KUANDAA SCRIPTS MUUNDO WA HADITH SEHEMU YA PILI  2. MUUNDO WA ENE...

01 Feb 2012 / 2 Comments / Soma zaidi

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign