ELIZABETH MICHEAL (LULU) KUONESHA MAISHA YAKE HALISI KUPITIA ''FOOLISH AGE''

Mwigizaji LULU ambae ni miongoni mwa mastaa wa Tollywood waliouza sana kwenye headlines za magazeti,  amezungumzia  kuhusiana na movie yake ya kwanza kuicheza kama Lulu, inaitwa FOOLISH AGE.

Akaendelea kunena ya kwamba kuna  asilimia flani ya hiyo movie itazungumzia maisha yake, pia inazungumzia maisha ya vijana kwenye umri kama wa kwake yaani teenagers wengine. Lulu (18) amesema “kuna vitu vingi nimevipitia kwenye maisha ya ukweli ambavyo vitaonekana kwenye hiyo movie kama vile nikitoroka nyumbani kwenda dicso, kuwa kwenye makundi yasiyo mazuri”
akazidi kuzungumza kwamba ni movie ambayo ameiproduce mwenyewe na kuongeza kwamba mpaka alipofikia, kuna vitu vingi alijutia baada ya kuvifanya akiwa na umri huo mdogo, vitu ambayo vilimfanya awe mbali na familia yake pamoja na kugombana na ndugu zake.
baadhi ya wasani wengine walioshirki na kuonekna ndani ya filamu hiyo ambayo itatoka hivi karibuni ni Mboto, hasheem Kambi na wengine wengi ambao jina kapuni..

chanzo;millardayo.com
asante! 

Posted by Bongo Film Data Base on 7:17 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for ELIZABETH MICHEAL (LULU) KUONESHA MAISHA YAKE HALISI KUPITIA ''FOOLISH AGE''

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign