MFAHAMU MTAYARISHAJI BORA WA PICHA ZA MAKASHA YA FILAMU ZA BONGO

KIJANA RAQEY MOHAMEDI ALIYETAYARISHA PICHA NYINGI ZA KUVUTIA NA KUUZA  ZAIDI KULIKO WOTE HAPA NCHINI WANAOFANYA SHUGHULI KAMA HII NA PICHA  HIZO  KUTUMIWA VYEMA  NA WASANII  KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU HUSUSANI ZILE ZA KIBIASHARA.

PICHA NYINGI ALIZOTAYARISHA NA ZIKATUMIKA NI ZILE ZILIZO KUWA MAHUSUSI KWA MAKASHA YA FILAMU ZA KIBONGO IJAPOKUWA HATA WANAMUZIKI PIA HUTUMIA PICHA ZILIZOTAYARISHWA NAYE KWA USHIRIKIANO WA KARIBU NA  JOPO ZIMA LA I-VEIW MEDIA KATIKA STUDIO YAO..

WASANII WALIOWAHI KUFANYA NAYO KAZI NI KAMA MZEE WETU KING MAJUTO, KANUMBA, JACOB STEVEN, SINGLE MTAMBALIKE, DR.CHENI, RAY,IRENE UWOYA, JACKLINE,DIAMOND NA WENGINE WENGI SANA WALIYOWEZA KUFANIKIWA  KUFANYA VIZURI ZAIDI KWENYE MAKASHA YA KAZI ZAO...

ILA KWA HIVI SASA KUMEKUWA KUNA WAKWAZA WADAU WENGI SANA JUU YA PICHA ZA MAKASHA HAYA NA DAIMA KERO YA MAKASHA HAYA HUAMBATANA NA  MASWALI  YAFUATAYO

1. JE?! UTENGENEZWAJI PICHA WA KASHA LA FILAMU VIZURI KWA MWONEKANO WAKE ILA KILICHOMO NDANI HUWA NI TOFAUTI  SANA NA HII YOTE HUTOKANA NA NINI?
        Mfano; Handsome wa Kijijini ya Ray,Mtaani Kwetu,Nzowa,Men's Day Out,Jumba Povu. NK 

2. JE?! UTENGENEZWAJI PICHA ZINAZOONESHA MITAA,NYUMBA,VICHAKA(miti na maua) VITU AMABVYO VINAPENDEZESHA KWELI MAKASHA HAYA ILA VITU HIVYO HAKUNA HATA KIMOJA?
       Mfano;Mtaani Kwetu,Nzowa,Men's Day Out,Jumba Povu. NK 

3. UA YOTE HAYA HUSABABISHWA NA WASANII WENYEWE WENYE  UJUZI MWINGI KUPITA MAARIFA YA VIPAJI VYAO?!

MBALI NA MAPUNGUFU HAYA KAZI NI ZURI SANA ANAYOIFANYA BWANA RAQEY NA JOPO LAKE LOTE HAPO I-VIEW MEDIA NA WATABAKIKUWA BORA KAMA NINYI MNAO FANYA SHUGHULI KAMA HII KUJITOKEZA WATU WAKAONA UBUNIFU WENU NA KULETA HATA ULE UPINZANI ULIYOJAWA NA MAONDELEO KWA TASNIA YETU YA FILAMU HAPA NCHINI..
 


NA HIZI HAPA CHINI NI SEHEMU YA MAKASHA YALIYOTAYARISHA TOKA I-VIEW MEDIAPosted by Bongo Film Data Base on 2:13 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MFAHAMU MTAYARISHAJI BORA WA PICHA ZA MAKASHA YA FILAMU ZA BONGO

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign