MWIGIZAJI WA HAPA TANZANIA ALIYEPATA NA ANAENDELEA KUPATA PONGEZI ZA SIKU YAKE YA KUZALIWA

PATCHO MWAMBA MUIGIZAJI WA HAPA NCHINI TANZANIA NYEWE URAIYA WA NCHINI YA CONGO NA MWIMBAJI WA KIKUNDI CHA UIMBAJI FM ACADEMIA A.K.A WAZEE WA MGWASUMA  ALIYEINGIA KWENYE TASNIA HII YA FILAMU KWENYE UPANDE WA UIGIZAJI  AMBAYE LEO TAREHE KAMA YA LEO 26 MWEZI HUU  ANATIMIZA MIAKA  KADHAA YA KUZALIWA AMBAPO IMEKUWA SI HALI YA  KAWAIDA KABISA  KWA MSANII MWIGIZAJI NA MWANA MUZIKI KUPATA PONGEZI NYINGI KWA KUZALIWA SIKU KAMA YA LEO YA TAREHE 26 MWEZI WA PILI..

ORODHA YA WATU IMEKUWA IKIONGEZEKA KILA BAADA YA SEKUNDE CHACHE  TU KUFIKIA WATU MAELFU WANAOMTAKIA PONGEZI YA SIKU HII YA LEO, IDADI HII NI ZAIDI YA MARAFIKI ALIYOWASIGN IN KUWA MARAFIKI WAKE KWENYE MTANDAO HUU WA KIJAMII FACE BOOK  KUANZIA SAA SITA NA DAKIKA KADHAA SIKU YA LEO ILIPOANZA TU..


DHUMINI LA KUWEKA MAKALA HII NI KUONESHA TU NAMNA MSANII ANAPASWA KUWA KWA WADAU NA WASHABIKI WAKE KWA MAANA YA KUSHIRIKIANA NAO, KUWASILIANA NAO PALE ANAPOPATA NAFASI KWANI HUMWONGEZEA IDADI YA WASHABIKI NA WATU WATAKAO MUUNGA MKONO PALE MSANII HUYU ATAWAOMBA WAMUNGE HUSUSANI KUNUNUA KAZI ZAKE....

TIZAMA MFANO WA PONGEZI ALIZOPOKEA MSANII HUYU NA KUZIJIBU PIA;

Posted by Bongo Film Data Base on 3:55 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MWIGIZAJI WA HAPA TANZANIA ALIYEPATA NA ANAENDELEA KUPATA PONGEZI ZA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign