UCHOYO,WIVU,TAMAA,NA KUKOSEKANA KWA USHIRIKIANO TOKA KWA WATAALAMU WALIOPO NDIYO CHANZO CHA KUTOKUKUWA KWA TASNIA HII NCHINI

Ni kweli kabisa, kuwepo kwa mtu ndani ya fani kwa muda mrefu hushawishika kwa namna moja ama nyingine kuaanda filamu yake mwenyewe ila kitalamu kuna mipaka fulani anapaswa kuishia juu ya suala hili na kutoa nafasi kwa watu wengine wenye taaluma zao juu ya utayarishaji filamu..

hii ipo tofauti sana na watu waliyondani ya fanii hii hapa bongo ambao hutaka kushiriki kila kitengo cha utayarishaji kazi zao kuanzia uandishi wa
=>hadithi
=> muswada
=>kutafuta mandhali(location)
 => wahusika(casting)
=>kuongoza(directing)
=>kuhariri (editing)+kutafsiri(subtittle)
 na hata kwenda kuzungumza na msambazaji atakwenda yeye tena,sasa unadhani ni nini kinachosababisha haya yote na mwisho wa siku tunakuwa na filamu za ajabu kila kukikucha?, mie nimeona kitu kikubwa kinacho changia haya yote ni uchoyo  tulionao wa tanzania,kutoaminia na watalamu toka vyuo mbali mbali kutojishughurisha na kile walichokisoma huko madarasani na hata kukosekana ushirikiano wa karibu kwa wadau hawa wa wawili...


Posted by Bongo Film Data Base on 11:04 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for UCHOYO,WIVU,TAMAA,NA KUKOSEKANA KWA USHIRIKIANO TOKA KWA WATAALAMU WALIOPO NDIYO CHANZO CHA KUTOKUKUWA KWA TASNIA HII NCHINI

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign