WASANII FUNGU LA KUMI LA MAPATO YENU MNALITOA KWELI KWA JAMII?!
habari, mpya, slide, udaku 9:05 PM
Msanii wa filamu nchini, Simon Mwapagata ‘Rado’ (kushoto), akitoa
msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juisi an biskuti kwa mtoto Isaack
Ntira wa shule ya Viziwi Buguruni, Dar es Salaam. Msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushirikiana na kampuni ya Steps Entertainment.
kurudisha ama kutoa fungu la kumi la mapato yetu kwa Mungu si lazima tupeleke kanisani tu kumbe hata kwa kuwasaidia wale waliyo kwenye mazingira magumu na wale wano hitaji misaada ya hali na mali jamani, pongezi nyingi zikufikie ndugu Simon (Rado) kwa hatua hii nzuri...
bigup->burudani.blogspot.com kwa picha poa sana....
Asante!
bigup->burudani.blogspot.com kwa picha poa sana....
Asante!
mh hilo fungu la kumi utalitoa vip wakat gharama ya uandaaji ni kubwa kuliko bei za kazi zenyewe...