KANUMBA ATUWAKILISHA VYEMA HUKO NCHINI GHANA
habari, mpya, slide 3:16 PM
Akiwa mjini Accrah huko Ghana The great Steven Kanumba kwenye poz na mwigizaji bora wa mwaka 2011 toka tunzo za AMAA huko nchini Ghana kwa jina mwite Ama K.Abebrese naye ataitika bila shaka . mwanadada huyu ni miongoni mwa wasnii waliyofanikiwa kisanaa nchini humo amewahi shiriki kwenye filmau za kimataifa na waigizaji wakubwa toka nchini Marekani kama SINKING SANDS aliyocheza na JIMMY JEAN-LOUIS ambaye ni mtayarishaji wa filamu pia na kwenye TIES THAT BIND akiwa na mwigizaji mwingine toka marekani KIMBERLY ELISE.