RAIS WA TAFF , BW. SIMON MWAKIFAMBA AFIWA NA MWANAYE
habari, mpya, slide 12:09 PM
Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania Bw. Simon Mwakifamba anasikiyika kutangaza kuondokewa mwanaye aliyekuwa mjini Mbeya. sasa taratibu za kusafirisha mwili kurejea hapa mijni Dar es salaam zinaendelea kwa mazishi , tafdhali mfahamishe mwenzio tumfariji mwenzetu
Tweet
Tweet