KAMATI KUU YA MAZISHI YA KANUMBA NI HII HAPA
kinyemi, slide, workshop 11:11 PM
Kamati kuu ya Mazishi mwenyekiti ni Gabriel Mtitu makamu Stephen Jacob ‘JB’ Katibu ni William J. Mtitu akisaidiwa na Issa Mussa, Ruge Mtahaba Usafiri Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ wajumbe ni Dada Asha Baraka, Erick Shigongo, Ali Choki, Rais wa Shirikisho la Filamu Simon Mwakifwamba, Hartman Mbilinyi.
Pia unaweza kuwakilisha mchango wako kwa M- Pesa, 0765 111 135 Tigo Pesa 0713 620 962 unaweza popote ulipo ukawakilisha mchango wako kwa ajili ya mazishi ya Gwiji la tasnia ya filamu Swahiliwood FC tunaungana na Watanzania wote katika huzuni na majozi yaliyoikumba tasnia ya filamu kubwa nchini. Bwana ametoa bwana ametwaa jina la Mungu lihimidiwe. Ameni.