TANZIA; STEVEN KANUMBA AFARIKI DUNIA
habari, slide, workshop 5:44 AM
MWIGIZAJI NA MTAYARISHAJI MKUBWA NCHINI TANZANIA NDUGU YETU, STEVEN KANUMBA AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU KWA TAARIFA ZILIZO ENEA KWA SASA NI KUDONDOKA GAFLA NA KUKIMBIZWA HOSPITAL YA MWIHIMBILI NA MAUTI YALIPOMKUTA..NA NDUGU WANASEMA BAADAE ASUBUHI WATATOA TAARIFA RASMI..
....MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEM ASUBUHI HII U MAHALI PEMA PEPONI AMENI...
no! please! it is very hard to believe this. i loved so much this guy, he was very important to film industry in Tanzania. OH! DEATH YOU ARE NOT FARE!
So young and very sad.
RIP brother