TUSIHUKUMU KABLA HATUJAHUKUMIWA
mitandao, udaku 10:58 AM
Huyu ni Elizabeth
Michael "Lulu", ambaye hadi sasa anahusishwa sana na kifo cha Steven Kanumba. Binafsi
siwezi kumhukumu kwani hadi sasa haijathibitishwa kuwa anachohusishwa nacho ni
kweli au laa. Na hata kama ikithibitika hivyo, bado BINAFSI siwezi kumlaumu kwa lolote lile, bali kujilaumu
mwenyewe na Watanzania wenzangu kwani UKWELI ni kwamba kama Watanzania, tulijua
matatizo yake muda mrefu sana, lakini kama Watanzania pia hatuwezi kusimama
hadharani na kukiri kuwa tulitumia nguvu zetu katika kumuokoa binti huyu.
Tulimuacha akawa anaogelea kwenye dimwbi alilochagua la skendo baada ya skendo,
tukawa tunanunua magazeti kusoma skendo zake, na leo kila mmoja wetu
anamnyooshea kidole. This is unfair to her.....RIP Kanumba...maandiko yametimia
Na.Rama S. Msangi
asante!
I'm congolese living in south africa.about Mr.kanumba,kifo ni kawaida.na hatuja mlaumu LULU.ila tusubiri uchuguzi wa serikali.wakati watukio lulu ndiye alikuwepo.na inasekana kulikuwa uvuto betwen theme.na ndio maana watu wananyoosha vidole kwa lulu.kanumba amekuwa marehema na ametuajiya zawadi nono za filam zake.