ZUBAGY AKILIMIA KUFUNGULIWA MASHTAKA?
mpya, mtandao 10:30 AM
Nilisema hapa kitabu cha HISTORIA YA KANUMBA hakijaandikwa kwa ruhusa ya familia yake. Na wasimamizi wake SHIRIKISHO LA FILAMU wamemkamata MUUZAJI vitabu vya HISTORIA YA KANUMBA pale BUGURUNI na alifikishwa POLISI kituo cha BUGURUNI. SHIRIKISHO LA FILAMU na Familia ya KANUMBA wamechukua hatua. Na wamesema MWANDISHI WA KITABU NA MCHAPISHAJI lazima wachukuliwe hatua. Na nyuma ya kitabu hicho kuna mawasiliano ya mwanishi wa kitabu. Naam nimeupenda
ATAENDELEA KUTUFAHAMISMU KWENYE HA KINACHOENDELEA KATIKA HILI KUPITIA UKURASA WAKE FACEBOOK AU HUUKURASA HUU KWANI SOTE TUNAUNGA MKONO SHERIA KUCHUKUA MKONDO WAKE
Kupitia Ukurasa wa