AROBAINI YA STEVEN KANUMBA HII JUMAPILI HII YA TAREHE 20/05/2012


Juma pili hii kutawa na ibada maalum ya kumbukumbu ya Steven Kanumba kuadhimisha arobaini [40]  ya kifo chake katika kanisa la AIC Chang'ombe  kuanzia saa tatu [3] asubuhi na baadae ndugu na jamaa kujumuika pale alipokuwa akiishi marehemu maeneo ya sinza mtaa wa Vatican.karibuni nyote na waarifu wadau wengine pia.


Shukrani
Natasha kwa taarifa.
(c)Bongofilmdatabase
     17/05/2012

Posted by Osxarguder • The Creator • on 9:24 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

1 comments for AROBAINI YA STEVEN KANUMBA HII JUMAPILI HII YA TAREHE 20/05/2012

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign