DAMU YA MJOMBA YA SHIRIKISHA MASTAA TISA


Moja kati ya filamu chache hapa nchini zilizotengenezwa katika mazungira na ngazi ya kifamilia ambapo unakuta aidha mtunzi au wahusika nini baba,mama au ni watoto kwenye filamu ambayo imetayarishwa na mtoto. Damu ya Mjomba imekamilika nchini ya utunzi wa baba na kutayarishwa na mtoto wa mtunzi hadithi hii ambao ni Mzee Issa Semtawa kama mtunzi na Nusrat Semtawa kama matayarishaji.

Filamu ya Damu ya Mjomba ni nzuri kwani  ina sisimua itizamapo kutokana na tungo kuandaliwa katika mazingira haya haya ya mtanzania na kuchezwa katika maadili mema kabisa filamu hii inazungumzia maisha ya watu wa kawaida tu.

SNOPYSIS

Hadithti  inamuhusu binti mmoja aliyeolewa na hakufanikiwa  mtoto hivyo kuchukuwa maamuzi ya kwenda kwa mganga wa kienyeji na kama kawaida mganga kumtaka binti huyo apeleke vitu vyenye utata ambayo ni  damu ya mjomba wake ili apate mtoto. Je? hiyo damu aliipata? na kwenye mazingira wapi? basi itizame filamu hii mambo yote haya.Mtunzi;
Issa Seemtawa

Mtayarishaji;
Nusrat Semtawa

Mwongojazi
Hashim Kambi

Mpiga Picha
Said Abdallah

Star Cast 
Checkibudi,
Sabrina Omari,
Hashim Kambi,
Hidaya Njaidi,
Mzee Magari,
Susan Lewis [Natasha],
Grace Mapunda
Nusrat Semtawa
Bi Hindu

Msambazaji
Steps

Posted by Osxarguder • The Creator • on 7:31 AM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for DAMU YA MJOMBA YA SHIRIKISHA MASTAA TISA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign