ROSE NDAUKA NA LOVE ME OR LOVE ME NOT


KADRI SIKU ZINAVYOZIDI  KWENDA WATAYARISHA WAKIKE WANAZIDI  KUONGEZEKA KWA KASI YA HALI YA JUU ZAIDI NA KUTENGENEZA KAZI NZURI TENA ZENYE MVUTO WA KUTOSHA KABISA MFANO WA WATAYARISHAJI WAKIKE NI KAMA
 JACKLINE WOLPER,
 IREN UWOYA,
LUCY KOMBA,
WEMA,

AUNT EZEKIEL
 NA WENGINE WENGI...

ILA LEO TUNAKUTANA NA ROSE NDAUKA KWENYE SAFU HII AKIWA NAYE NI MIONGONI MWA WATARISHAJI FILAMU WA KIKE HAPA NCHINI TANZANIA WANAO JITAHIDI KUFANYA KILE WANAWEZA FANYA KUTONA NA KIPAJI CHAKE...HIVI KARIBUNI ATAINGIZA  KAZI YAKE MPYA MTAANI  ILIYOSHEHENI VIJANA WAPYA KWENYE TASNIA WAKIWA WAMETANUA MBAWA ZAO KUWAONESHA WATANZANIA WALICHONACHO KUPITIA FILAMU HII YA LOVE ME OR LOVE ME NOT ITAKAYO INGIA SOKONI MWEZI UJAO KWENYE TAREHE NNE [4] MWAKA HUU.


ROSE NDAUKA[Mwigizaji bora wa kike-ziff]
  

Asanteni
(c)Bongofilmdatabase

Posted by Bongo Film Data Base on 8:53 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for ROSE NDAUKA NA LOVE ME OR LOVE ME NOT

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign