WINO WA MWANDISHI

MZEE MAJUTO: WASANII WOTE HUSAFIRIA NYOTA YANGU

Iko wazi kabisa si kipaji tu cha mzee majuto ndicho wasanii wenzeka katika tasnia ya maigizo hapa nchini wanakihitaji katika filamu zao...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi
WINO WA MWANDISHI

MJUE VILIVYO HASHIM KAMBI

Kama unafuatilia sanaa ya filamu nchini Tanzania, sina wasiwasi kwamba sura unayoiona hapo juu unaitambua. Unachoweza kuwa hukijui ni j...

09 Aug 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

MCHAKATO WA KULIPAMBA TAIFA NA SANAA ZA NYUMBANI WAANZA

 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Shirikisho la Sanaa za ufundi nchini liko mbioni kuzindua kampeni ambayo italenga kujenga msukumo wa kulipamba taifa na Sanaa mbalimbali nyumbani.

Akizungumza wiki hii kwenye kikao cha awali cha maandalizi ya kampeni hiyo kilichofanyika BASATA jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa baraza hilo Ghonche Materego alisema kuwa, lengo ni kuhakikisha maeneo ya miji, majiji, manispaa, ofisi, mahoteli na mazingira mbalimbali yanaona umuhimu wa kununua sanaa za nyumbani na kuzitumia kupamba.

“Hatujapamba kabisa kwa sanaa zetu, maeneo mengi ya miji, kuta za maofisi, nyumba zetu na kadhalika ni matupu. Ni wazi kunahitajika msukumo wa pekee katika kuhakikisha tunaipendezesha nchi yetu kila mahali na Sanaa mbalimbali” alisisitiza Materego.

Kwa mujibu wa Materego, Tanzania ni nchi iliyojaaliwa vipaji vingi na yenye historia ya pekee katika Sanaa za Ufundi hivyo ingetarajiwa sanaa hizo kupamba kwa wingi miji, fukwe, maofisi, shule, majumba, mahoteli na maeneo mbalimbali.

“Sasa kama wasanii tuingalie nchi yetu, tujiweke mbele katika kuangalia namna ya kuipamba kwa Sanaa zetu.Tukichelewa itapambwa na Sanaa za nje” aliongeza Materego.

Alitumia fursa hiyo kutoa pongezi kwa Ikulu na Rais Jakaya Kikwete kwa kutilia mkazo mapambo ya Sanaa za nyumbani na kutoa wito kwa ofisi zingine za umma kuiga mkakati huo kwani ni aibu kutumia sanaa za nje kupamba.

“Mara baada ya Rais Kikwete kuingia Ikulu kulifanyika ukarabati, maonesho ya Sanaa za ufundi yaliandaliwa ili kupata Sanaa za kuipamba Ikulu yetu, hili ni jambo la faraja kwamba, na sisi tuna pa kuanzia” alisema Materego.

Alitaja faida za kampeni ya kulipamba taifa na Sanaa za nyumbani kuwa ni pamoja na kutanua soko la kazi  za wasanii, kulipendezesha taifa na kazi mbalimbali za mikono, kuwathamini wasanii na nyingine nyingi.

Nchi ya Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayovuma kwa Sanaa za Ufundi duniani kama michoro, vinyago, ususi na kadhalika lakini pamoja na utajiri huo bado Sanaa hizi hazijapewa nguvu kubwa ndani ya mipaka.

Captions
1.   Katibu Mtendaji wa BASATA Ghonche Materego akisistiza jambo kuhusu haja ya kulipamba taifa na kazi za Sanaa za nyumbani kwenye kikao cha awali cha maandalilzi ya kampeni hiyo. Kulia kwake ni Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi nchini Adrian Nyangamalle.
2.   Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Bw.Nyangamalle akichangia kuhusu mikakati ya uzinduzi wa kampeni hiyo ambayo kama ikifanikiwa italipendezesha taifa na kazi mbalimbali za mikono.
3.   Wajumbe waliohudhuria kikao hicho wakifuatilia mchango wa mmoja wa wajumbe kwa makini.

Posted by bongofilmdatabase on 11:30 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MCHAKATO WA KULIPAMBA TAIFA NA SANAA ZA NYUMBANI WAANZA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

HABARI MPYA INAVYOSEMEKANA WADAU
KUTA ZA FACEBOOK

WASAMBAZAJI HEWA

Wasambazaji hewa ni yupi kati huyu? A.Steps B. Proinkiini cha taarifa za filamu bongo...

19 Jun 2016 / 0 Comments / Soma zaidi

FILAMU ZA BONGO NI MAIGIZO YA MAISHA YA WAPI?

kiini cha taarifa za filamu bongo...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi

YASEMEKANA HUU NDO MWANZO NA ILIPOANZIA VAMPIRE DIARIES

The Vampire diaries tamthilia yakusisimua sana iliyojizolea mashabiki kibao hapo nchini na mataifa mengi dunia inasadikika kuwa mwanzo w...

28 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

BADO SIKU CHACHE TU! karibuni wadau wote

Asanteni sana wadau wetu kwa kutuunga mkono siku zote hizi tangu tuanzishe kurasa wetu huu wa Bongo Film DataBase..Tumesikiza na tuanyafa...

25 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
FILAMU MPYA

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

SIMULIZI

SIMULIZI SEHEMU YA PILI

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA..Bofya kiunga h...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI NA ADELA KAVISHE

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA.. Bofya kiu...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
BOLLYWOOD

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi
BONGO MOVIE

MONALISA, KING MAJUTO NA BARAFU NDANI YA DALADALA MOJA

Mwigizaji Yvonne Cherryl au mwite Monalisa kupitia ukurasa wake facebook amepost picha kadhaa zikimwonesha yeye na waigizaji wenzake...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

DUME JEURI NI MKOMBOZI NA IMEIBUA HISIA CHANYA KWA WALIOPUUZWA

Uwezo wa msanii huzihilika pale apewapo nafasi bila kutiliwa shaka nae hujisikia ni msanii muhimu kwenye kuikamilisha filamu mpaka i...

25 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
SERIES KALI

ZIJUE SERIES ZILIZOTAMBA NA ZINAZOBAMBA KWA SASA UKIANZIA NA YA ARROW ( Eps 1 )

Katika nyumba tano hapa mjini kwa sasa iishiyo vijana wapendao filamu zitokazo hollywood basi nyumba mbili kama sio tatu katika ya hizo ...

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO JIFUNZE NAMNA YA KUANDIKA NA KUANDAA SCRIPTS MUUNDO WA HADITH SEHEMU YA PILI  2. MUUNDO WA ENE...

01 Feb 2012 / 2 Comments / Soma zaidi

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign