PICHA NNE ZA UTAYARISHAJI KIPINDI CHA FACE2FACE HIZI HAPA

 Bond Bin Sinnan na mtayarishaji/mwongozaji  wa kipindi  cha Face2face kirukacho katika kituo cha C2C kihusianacho na tasnia ya filamu ambacho kimejikita zaidi kuiangazia tasnia hii kiundani ambapo  ewe mdau unapaswa kufahamu kutoka kwenye haya  mazingira  yetu ya kitanzania ya utayarishaji filamu kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake....tafadhali ungana nami hapo C2C kwenye nyumba ya Burudani tukudadavulie tasnia hii vilivyo. 
  Mtangazaji wa kipindi cha C2C, mwadada Diva na Bond Bin

 Mpiga picha naye akaja kwenye kadi yangu ya kuhifadhia picha


Posted by bongofilmdatabase on 9:51 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for PICHA NNE ZA UTAYARISHAJI KIPINDI CHA FACE2FACE HIZI HAPA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign