FACE2FACE KUIGEZA JUU CHINI TASNIA YA FILAMU BONGO

FACE2FACE MOJA YA VIPINDI KINACHORUKA KWENYE KITUO CHA TELEVISHENI CHA C2C KINACHOZUNGUMZIA NA KUIBAMBANUA TASNIA YA FILAMU HAPA NCHINI TANZANIA  CHINI YA UTAYARISHAJI GUDER NA MWANDISHI WA UKURASA WA BONGO FILM DATABASE KWA TAKLIBANI MIAKA KADHAA MPAKA SASA .


 Bond Bin Sinnan na mtayarishaji/mwongozaji  wa kipindi  cha Face2face kirukacho katika kituo cha C2C kihusianacho na tasnia ya filamu ambacho kimejikita zaidi kuiangazia tasnia hii kiundani ambapo  ewe mdau unapaswa kufahamu kutoka kwenye haya  mazingira  yetu ya kitanzania ya utayarishaji filamu kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake....tafadhali ungana nami hapo C2C kwenye nyumba ya Burudani tukudadavulie tasnia hii vilivyo. 
  Mtangazaji wa kipindi cha C2C, mwadada Diva na Bond Bin
 Mpiga picha naye akaja kwenye kadi yangu ya kuhifadhia picha

Posted by Osxarguder • The Creator • on 11:00 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for FACE2FACE KUIGEZA JUU CHINI TASNIA YA FILAMU BONGO

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign