UZOEFU WA NIKITA UTAIBEBA CRIME INVESTIGATION DEPARTMENT?


NIKITA[Mwigizaji]



 Crime Investigation Department CID  filamu ya mapigano inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni na ni moja ya filamu chache sana hapa nchini zinazoonosha mambo ya kipelelezi ambazo zimewahi kutengenezwa na kuingia katika orodha ya filamu za mapigano ambazo zimewahi kutayarishwa hapa nchi Tanzania kwenye hii miaka ya karibuni.
Bongo film Database imekutana na watayarishaji filamu hii siku chache tu mara baada ya matayarisho yake kukamilika na kuwa na machache sana ya kuzungumzia juu ya kazi hii na kuwaeleza wapenzi wa kazi za Tino na tasnia hii kwa ujumla wakae tu mkao wa kuburudika na kazi hii  kwani filamu imetayarishwa katika mazingira magumu sana ila ugumu wa mazingira hayo yalitokana na wao kudhamilia kutengeneza kitu chenye utofauti sana na kazi nyingine zilizopo mtaani na hata kwenye maktaba yao hapo Timamu Effects.
STAR CAST
Hissan Muya
Kibabu Idd Mkomu
Khalfan Ahmad
Elizabeth Chijumba
Nikita
STORY
Hissan Muya
SCRIPT 
Flex John

DIRECTOR
Jackson Kabirigi

DIRECTOR OF PHOTOGRAPH
Nicholaus Mtawa

EDITOR
Timoth Conrad
MAKEUP
Vanita
HIZI HAPA CHINI NI PICHA ZA SEHEMU YA WASANII  KWENYE UTAYARISHJI FILAMU YA CID


Posted by bongofilmdatabase on 11:17 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for UZOEFU WA NIKITA UTAIBEBA CRIME INVESTIGATION DEPARTMENT?

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign