VIOJA VYA MREMBO WA FACEBOOK IPO TAYARI


 MREMBO WA FACEBOOK  filamu iliyotungwa mahususi kabisa kuwaelimish kwa watumiaji mitandao ya kijamii kama facebook na twitter ,ndani  ya filamu hii yamezungumzwa mengi ila kubwa ni yale madhara ya facebook na namna yalivyowakuta watu wengi ambao wanatumia ukurasa huu.

 Mkasa mkuu ni huu wa watu  kutoweka picha zao halisi  kwenye profile picture kama sio album yake yote na kuweka picha za watu wengine zilizokuwa na mvuto na mwonekano mzuri zaidi, kitu  hiki kimewaghalimu watumiaji wengi wa mtandao huu wa kijamii [facebook] kwa kila mtu kwa namna yake kulingana na nyakati na mazingira ya mtuaji aingiavyo mkenge wa kudanganywa  na hatimaye kutapeliwa fedha, mapenzi, n.k


Filamu hii imeandaliwa kwenye mahadhi ya vichekesho[comedy] na ilimeghalimu  laki sita tu  mpaka kukamilika kwake na ilirekodiwa kwa siku moja tu.na huyo hapo juu ndiye mrembo mwenyewe wa facebook.

STAR CAST;

SENGA,
PEMBE,
DIFENDA,
DANNY
SAMOFI,
FETTY

STORY
GODLOVE ANTHON 

DIRECTOR
GODLOVE ANTHON 

PRODUCER
SAMOPHI PRODUCER/EX PRODUCER

Posted by Osxarguder • The Creator • on 10:23 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for VIOJA VYA MREMBO WA FACEBOOK IPO TAYARI

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign