ARNOLD MZIGONI TENA NDANI YA THE LAST STAND

kama unavyofahamu Mwigizaji ni mtu mmoja ya watu muhimu sana kwani wao ndiyo huibeba filamu aichezapo vizuri kwa ushirikiano wa karibu zaidi na jopo zima la utengenezaji wakiwemo waongozaji, wapigaji picha watunzi na waandishi miswada. 

Katika ulimwengu wa uundaji filamu duniani huwezi kuacha kutaja watu kadhaa waliyochangi kwa kiasi kikubwa  sana kukua kwa tasnia hii  tangu enzi hizo yaani itakuwa ni ngumu sana kwa wapenzi wa filamu za kivita waliyokuwa wakifuatilia filamu za namna hiyo kwenye miaka ya tisini kuacha kumtaja kamanda Arnold Schwarzenegger.
sasa kamanda huyu anakuja tena na filamu nyingine inayokwenda kwa jina la THE LAST STAND ila Je!  filamu hii  huenda ikawa  ndiyo filamu yake ya mwisho kuigiza katika maisha yake kama ilivyo batizwa kwa jina lake la THE LAST STAND?

Mwongozaji na mwandishi filamu  toka korea ya kusini bwana Kim Jee Woon mwenye filamu taklibani kumi na tisa [19]  tangu mwaka 1998 mpaka sasa. Kim na jopo lake wapo kwenye matayarisho ya  utengenezaji filamu yake nyingine mpya aliyomshirikisha mmoja ya viongozi wa kubwa na maarufu sana nchini marekani Mh. Arnold Schwarzenegger. filamu hiyo inayokwenda kwa jina la THE LAST STAND inatarajiwa kuwa mtaani tarehe 18 mwezi wa kwanza mwaka 2013.


Peter Stomare.
Mwigizaji na mtayarisha filamu  ambaye alitumia jina la Burrell kwenye filamu ya The Last Stand 

Rodrigo Santoro[Frank Martinez]
moja ya waigizaji wenye kipaji kikubwa nchini Brazil aliyeng'ara kwenye jukwaa la filamu mwaka jana ambaye anatumia jina la Frank Martinez

Zach Gilford 

Jina alilotumia ni Jerry Bailey

[Jerry Bailey]

   Jaimie Alexander 

Jina alilotumia kwenye filamu hii ni Saraha TorranceNa hii hapa chini ndiyo resume ya director Kim Jee Woon tangu aanze kujishughulisha na mambo ya utayarishaji filamu mpaka sasa. 


Hide HideDirector (10 titles)
Hide HideWriter (9 titles)
2009The Uninvited (motion picture "Changhwa, Hongryon" / as Jee-Woon Kim)
2008The Good, the Bad, the Weird (screenplay)
2003A Tale of Two Sisters (screenplay)
20023 Extremes II (screenplay / segment "Memories")
2001Coming Out (short)
1998The Quiet Family (writer) 

PRODUCTION DETAILS

In Theaters

  • January 18, 2013

Genres

Thriller, Action/Adventure, Crime

Distributors

Lionsgate

DIRECTORS

Kim Jee-Woon

Director

CAST

Arnold Schwarzenegger

Ray Owens

Peter Stormare

Burrell

Rodrigo Santoro

Frank Martinez

Zach Gilford

Jerry Bailey

Jaimie Alexander

Sarah Torrance

Eduardo Noriega

Gabriel Cortez

Posted by Osxarguder • The Creator • on 10:14 AM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for ARNOLD MZIGONI TENA NDANI YA THE LAST STAND

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign