CHINEDU (AKI) : BARAKA NDANI YA NYUMBA NDIYO HII HAPA JAMANI

Mwigizaji  CHINEDU toka naija aliyejizolea umaarufu mkubwa sana hapo siku za nyuma mpaka sasa aliyetumia jina la AKI  katika kazi zake za kisanaa akiwa na mwigizaji mwenzake UKWA wanao shabiana vipimo vya urefu ambao walijikita sana kwenye uigizaji uliyombatana na vituko vinavyochekesha  sana. AKI alifunga pingu za maisha na aliye mke wake mpaka  sasa mwishoni mwa mwaka jana.
kama tuwajuavyo wanaija kwa kutunza mila na tamaduni zao ndiyo jambo wanajivunia sana mfano wa mila wanazihifadhi mpaka sasa ni kuitana majina yenye  asilimia kubwa ya kuwakirisha  makabila yao, hivyo Aki nae hakuwa mbali wala tofauti na wanaijeria wenzake akamwita mwanae WOLOLO jina toka kwenye kabila lao..


hii ni moja ya kumbukumbu za picha ya siku yake ya ndoa pale mbele ya umati mkubwa wakimshuhudia Aki akiapa kuishi nae kwenye shida na raha. 


Mr na Mrs Chinedu 

shavu la kutosha kutoka kwa Peter ,Paul na Ukwa kwa wana ndoa hao lilikuwa kama hivi. 


Posted by Oscar TheCityDriver on 6:02 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for CHINEDU (AKI) : BARAKA NDANI YA NYUMBA NDIYO HII HAPA JAMANI

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign