TRAILER HII YA MAGIC MONEY INAFAA KUUZIWA NA KASHA LIPI KATI YA HAYA?!

 ''PESA SHETANI ASIYE EPUKIKA KATIKA DUNIA YA SASA NA USIOMBE ABISHE HODI NDANI YA FAMILIA KABISA'' 
...KUMKANYWA NA KUPEWA TAHADHALI KWA MTU NDIYO KUMTIA HAMASA NA MUWASHAWASHA KUITIKIA KIU YA NAFSI YA TAMAA YA PESA . 
MAISHA YA KUKIMBIA NDIYO MATOKEO YAKE KAMA SIO KUKOSANA NA NDUGU AU MPENZI/MUME/MKE WAKO... BASI MTIZAME BINTI HUYU NAMNA NDOA YAKE INAVYO TIBULIWA NA SHETANI  HUYU (PESA).

HILI NDILO KASHA JIPYA LA FILAMU YA MAGIC MONEY ITAKAYOINGIA SOKONI MWEZI HUU
HILI  NDILO LILIKUWA  KASHA LA FILAMU HII YA MAGIC MONEY KABLA YA KUINGIA SOKONI


TIZAMA TRAILER YA FILAMU HII HAPA CHIINI YENYE DAKIKA TATU TU NA UTUMBIE NI KASHA LIPI LILISTAHILI KUTOKA NA FILAMU HII
Posted by Osxarguder • The Creator • on 8:43 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

2 comments for TRAILER HII YA MAGIC MONEY INAFAA KUUZIWA NA KASHA LIPI KATI YA HAYA?!

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign