MWANDISHI WA LILE GAZETI NA STORY YA KUFUMANIWA DADA HUYU UNAJISIKIA VIPI PINDI UIONAPO HII PICHA?

MWANDISHI WA GAZETI LILE LILILOSEMA BIBI HARUSI MTARAJIWA AFUMANIWA BAADA TU YA SEND OFF  AKIIONA HII ATAJISIKIA VIPI?

UKURASA HUU NA WADAU WA MWIGIZAJI HUYU WALAANI SANA KITENDO CHA HIKI CHA KUANDIKA VIBAYA WASANII, CHINI NI MOJA YA WADAU MWIGIZAJI HUYU AKILAANI JUU YA HILI KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK

STATUS: 
OOOH KAFUMANIWA OOOH SIKU MOJA BAADA YA SEND OFF ACHENI HIZO HII NINI SASA.... WANAMEREMETA BWANA.............. LONG LIFE


CHANZO CHA STATUS NA PICHA;
Deo Mutta Mwanatanga

Posted by Osxarguder • The Creator • on 7:08 AM. Filed under , , , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MWANDISHI WA LILE GAZETI NA STORY YA KUFUMANIWA DADA HUYU UNAJISIKIA VIPI PINDI UIONAPO HII PICHA?

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign