GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA


GELLY WA RHYMES
Mwanamuziki/Mwigizaji


LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA KUPATA KAZI YA USAIDIZI WA SHUGHULI ZA NDANI YA NYUMBA AMBAPO ATASHAWISHIKA NA KUTEMBEA NA BABA MWENYE NYUMBA NA KUMFANYIA DAWA YA KUMFUNGA  YAANI LIMBWATA ILI AMWACHE MKEWE AOLEWE YEYE. LIMBWATA LIKAKOLEA NA KUZUA VIMBWANGA SASA.... 

MTUNZI;
  --Nusrat Semtawa

DIRECTOR;
   --Mohammed Nurdin

WAANDAAJI;
  --Nusrat Semtawa
  --Ameena Mkuja
  --Mohammed Nurdin

LOCATION;
  --Bi Chiku Semtawa

WAHUSIKA;
  --Gelly wa Rhymes
  --Mohammed Nurdin
  --Snura Mushi
  --Sabrina Omari
  --Nusrat Semtawa
  --Tico hassan
  --Mzee Hassan
  --Mzee Hamis Korongo
Moja ya kazi za awali alizoshirikishwa baada ya kuanza kujihusisha na mambo ya filamu mbali na muziki ambao ndiyo shughuli yake aliyoipa kipau mbele kwani muziki kiini cha yale yote tunayoyaona mpaka sasa na hata kumfanya aweze kuonekana kisha kutafutwa kufanya filamu.Posted by Oscar TheCityDriver on 10:29 AM. Filed under , , , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign