Lupita Nyong’o Wa Kenya Kuwania Tuzo Dhidi Ya Oprah Winfrey, Oprah Amsifia Actress Huyo …Mwigizaji wa kike kutoka nchini Kenya Lupita Nyong’o ambaye alimaliza katika shule ya uigizaji ya Yale, atakuwa katika ushindani wa kuwania tuzo za Academy Awards pamoja na mwana mama maarufu duniani Oprah Winfrey katika Category ya Best Supporting Actress.
Oprah Winfrey alimsifia muiigizaji huyo wa kike wa Kenya kutokana na uwezo wake aliouonyesha Lupita katika sinema ya 12 Years A Slave, ambayo ndani ya sinema hiyo inaelezea enzi za utawala wa watu weupe dhidi ya watu weusi (Utumwa). Oprah Winfrey atakuwa akiwania tuzo hiyo ya  Best Supporting Actress kupitia sinema ya The Butler na Lupita Nyong’o atawania tuzo hiyo dhidi ya Oprah Winfrey kupitia sinema ya  12 Years A Slave.

Chanzo: gongamx.com
Asante!

Posted by Osxarguder • The Creator • on 9:35 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Lupita Nyong’o Wa Kenya Kuwania Tuzo Dhidi Ya Oprah Winfrey, Oprah Amsifia Actress Huyo …

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign