SLIM OMAR KATIKA SCENE YA ACTION KWENYE FILAMU MPYA YA COAST TO COAST

Hii ni picha kutoka filamu mpya ya Coast To Coast ikimuonyesha Star wa filamu nchini Slim Omar akiwa katika scene ya Action. Katika filamu hiyo muigizaji mwingine mkuu ni Yobnesh Yusuph(Batuli) na wasanii wengine.

Hata hivyo Slim katika scene/picha hiyo anaonekana kutokuvutia sana hasa baada ya kuvua shati na hii ni kwa kuwa hana mwili mzuri wa kimazoezi hivyo alitakiwa kubeba chuma na mwili kukaa vizuri kabla ya kuanza kushoot angetoka vizuri sana kwani kinachoonekana hapo ni kunenepeana na sio mwili mzuri wa kimazoezi. By the way acha tusubiri mzigo mzima utakavyokuwa ila mazoezi/gym ni muhimu sana kwa waigizaji wote wa kike na kiume ili mtu kuwa fit na kuuvaa uhusika unavyotakiwa na sio bora liende tu.

Chanzo: Swahili World Planet

Posted by Osxarguder • The Creator • on 9:00 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for SLIM OMAR KATIKA SCENE YA ACTION KWENYE FILAMU MPYA YA COAST TO COAST

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign