WINO WA MWANDISHI

MZEE MAJUTO: WASANII WOTE HUSAFIRIA NYOTA YANGU

Iko wazi kabisa si kipaji tu cha mzee majuto ndicho wasanii wenzeka katika tasnia ya maigizo hapa nchini wanakihitaji katika filamu zao...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi
WINO WA MWANDISHI

MJUE VILIVYO HASHIM KAMBI

Kama unafuatilia sanaa ya filamu nchini Tanzania, sina wasiwasi kwamba sura unayoiona hapo juu unaitambua. Unachoweza kuwa hukijui ni j...

09 Aug 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

(Taarifa) Mini ZIFF na Filamu za Bongo


MINI ZIFF 2013 inafanyika sambamba na Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Tamasha hili dogo litafanyika tarehe 10 -12 Jan, 2014 na kama kawaida ZIFF itatoa tuzo 10 za Filamu kwa waliofanya vizuri kwa mwaka 2013 katika filamu za Kiswahili (Bongo Movie). Tuzo zitakazotolewa ni Muigizaji Bora wa Kiume na Kike, Muongozaji Bora, Filamu Bora ya Mwaka, Muigizaji anayechipukia, Filamu bora katika Sauti, Filamu bora katika Hadithi, Balozi bora wa Filamu za kitanzania, Kampuni au mtu aliyetoa mchango mkubwa katika Tasnia hii kwa mwaka huu na Tuzo ya Heshima. Tamasha hili dogo litajumuisha filamu za kitanzania peke yake (Bongo movies) ilikuendelea kutoa mwamko kwa watengenezaji filamu wa Tanzania kufanya vyema katika tasnia hii, Tamasha hili ni utangulizi wa tamasha kubwa la ZIFF litakalofanyika 14 – 22 Juni, 2014.
  Tuzo zitatolewa baada ya jopo la majaji kupitia kazi zilizoletwa kwaajili ya Mini ZIFF na pia Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume na Kike zitapata kupigiwa kura na wananchi kupitia namba maalum itakayotolewa hapo baadae kupitia Puch Mobile na hivyo kufanya watu wote Tanzania nzima kupiga kura.





Mini ZIFF itaonesha filamu kwa siku mbili na siku ya mwisho Tuzo zitatolewa kwa walioshinda, pia tunategemea kuwaalika wasanii mbalimbali maarufu kutoka hapa Tanzania kama JB, Cloud, Steve Nyerere, Ray, Makombora, Simon Mwakifamba, Monalisa, Wema Sepetu, Irene Uwoya, Lulu na wengine wengi.

Pia tunategemea kufanya show kabambe ya muziki baada ya kutolewa kwa tuzo, wasanii watakaopanda jukwaani watatangazwa hapo baadae. Kwa wale wote wanaotaka kuleta kazi zao basi walete sasa ila ziwe ambazo zimetoka mwaka 2013 tu. Wasiliana na Ibra 0713300997(DAR) au Mohd 0778685676 (ZNZ).

MINI ZIFF 2013 inaletwa kwa udhamini mkubwa wa ZUKU, Push Mobile, Azam Marine, Filamu Central Clouds TV kupitia kipindi cha Take One na Clouds FM kupitia kipindi cha Leo Tena.


chanzo: DJ Choka
asante!

Posted by bongofilmdatabase on 4:41 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for (Taarifa) Mini ZIFF na Filamu za Bongo

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

HABARI MPYA INAVYOSEMEKANA WADAU
KUTA ZA FACEBOOK

WASAMBAZAJI HEWA

Wasambazaji hewa ni yupi kati huyu? A.Steps B. Proinkiini cha taarifa za filamu bongo...

19 Jun 2016 / 0 Comments / Soma zaidi

FILAMU ZA BONGO NI MAIGIZO YA MAISHA YA WAPI?

kiini cha taarifa za filamu bongo...

01 Jul 2014 / 0 Comments / Soma zaidi

YASEMEKANA HUU NDO MWANZO NA ILIPOANZIA VAMPIRE DIARIES

The Vampire diaries tamthilia yakusisimua sana iliyojizolea mashabiki kibao hapo nchini na mataifa mengi dunia inasadikika kuwa mwanzo w...

28 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

BADO SIKU CHACHE TU! karibuni wadau wote

Asanteni sana wadau wetu kwa kutuunga mkono siku zote hizi tangu tuanzishe kurasa wetu huu wa Bongo Film DataBase..Tumesikiza na tuanyafa...

25 Nov 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
FILAMU MPYA

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

SIMULIZI

SIMULIZI SEHEMU YA PILI

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA..Bofya kiunga h...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

SIMULIZI NA ADELA KAVISHE

DADA POA..SEHEMU YA KWANZA,PILI NA YA TATU...SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA, INAYOHUSU MAISHA YA MWANADADA ....MANKA.. Bofya kiu...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
BOLLYWOOD

BODY GUARD NI MIONGONI MWA FILAMU KALI TOKA ASIA MWAKA HUU.

  Body Guard ni moja ya filamu zinazopigiwa kura nyingi sana kwa mwaka huu na wafuatiliaji filamu hizi za kihindi....

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

GELLY WA RHYMES ATUPA KARATA NYINGINE KWENYE LIMBWATA

GELLY WA RHYMES Mwanamuziki/Mwigizaji LIMBWATA NI HADITHI YA BINTI MMOJA ALIYETOKA KIJIJINI KUJA MJINI KUTAFUTA AJILA  NA...

17 Nov 2012 / 0 Comments / Soma zaidi
BONGO MOVIE

MONALISA, KING MAJUTO NA BARAFU NDANI YA DALADALA MOJA

Mwigizaji Yvonne Cherryl au mwite Monalisa kupitia ukurasa wake facebook amepost picha kadhaa zikimwonesha yeye na waigizaji wenzake...

26 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

DUME JEURI NI MKOMBOZI NA IMEIBUA HISIA CHANYA KWA WALIOPUUZWA

Uwezo wa msanii huzihilika pale apewapo nafasi bila kutiliwa shaka nae hujisikia ni msanii muhimu kwenye kuikamilisha filamu mpaka i...

25 Jul 2013 / 0 Comments / Soma zaidi
SERIES KALI

ZIJUE SERIES ZILIZOTAMBA NA ZINAZOBAMBA KWA SASA UKIANZIA NA YA ARROW ( Eps 1 )

Katika nyumba tano hapa mjini kwa sasa iishiyo vijana wapendao filamu zitokazo hollywood basi nyumba mbili kama sio tatu katika ya hizo ...

08 Apr 2013 / 0 Comments / Soma zaidi

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO

UANDISHI WA FILAMU NA MAIGIZO JIFUNZE NAMNA YA KUANDIKA NA KUANDAA SCRIPTS MUUNDO WA HADITH SEHEMU YA PILI  2. MUUNDO WA ENE...

01 Feb 2012 / 2 Comments / Soma zaidi

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign