MZEE MAJUTO: WASANII WOTE HUSAFIRIA NYOTA YANGU
Posted by bongofilmdatabase
filamu,
habari...,
mitandao,
sokoni,
tafiti,
udaku
12:52 PM
Iko wazi kabisa si kipaji tu cha mzee majuto ndicho wasanii wenzeka katika tasnia ya maigizo hapa nchini wanakihitaji katika filamu zao bali ni kung'ara kwa nyota ya mzee huyu ndiyo sababu ziwapelekeazo kumshirikisha katika kazi zao. ukitizama baadhi ya kazi zilizotoka hivi karibuni walizoshirikishwa mzee huyu nyingi hapakuwa na sababu za msingi kumshirikisha acheze ila tu ni kusafiria nyota yake na hatimaye kumlipa kiasi kidogo cha pesa na wao kuuza filamu za kwa pesa nyingi zaidi kulinganisha na wanavyomlipa.