BONGO FILM DATABASE FLASH ITS LIGHTS TO HUGH MICHAEL JACKMAN THE MAN OF THE X-MEN page 1Hugh Micheal Jackman

Alizaliwa tarehe 12 mwezi wa kumi mwaka 1968, huko Sydney, New South Wales, Australia.Hugh ni mototo wa mwisho kwenye familia ya watoto wa tano ya mzee Jackman, ana urefu wa mita 1.89. Hugh kwa upande wa elimu ana stashada ya mawasiliano na wandishi wa habari aliyoihitimu kwenye chuo cha teknolojia hapo Sydney.
Mara baada ya kuhitimu masomo hao na kuhitimu akajiunga na chuo kingine cha Western Australian Academy of Performing Arts kupata elimu ya sanaa kwa upande wa maigizo sasa na alipohitimu tena hapo katika chuo hicho tu akapata kazi kwenye kituo cha television cha ABC mwaka 1995. Ilipo fika mwaka 1999 Hugh alicheza feature film mbili ambazo zilimpelekea achaguliwe kuwania tunzo za mwigizaji bora wa kiume huko Australia na kuimbuka kidedea katika mashindano hayo, kushinda kwake katika kinyang’anyilo hiko akapata nafasi kubwa sana ya kuonekana kimataifa zaidi na hatimaye kupata dili ya kucheza filamu aliyo mwingizia kiasi kingi cha pesa cha pesa za kimarekani mwaka 2000 iliyokwenda kwa jina la X-Men ya kwanza kabla ya hizi nyingine alizocheza hivi karibuni kama X-Men orginal ya mwaka 2009 na nyingine nyingi kama Real Still na Butter .


Hugh Jackman katika muda wake wa ziada nje ya ulimwengu wa kisanaa upande wa filamu na maigizo hupendelea kucheza kinanda, kucheza golf, na gita.

Hugh akiwa ndani ya make up na props moja wapo za kwenye X-Men...Stay linked to Bongo Film Data base for the second plash of information on
Hugh Jackman Michael, Page 2...

Posted by Bongo Film Data Base on 7:56 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

2 comments for BONGO FILM DATABASE FLASH ITS LIGHTS TO HUGH MICHAEL JACKMAN THE MAN OF THE X-MEN page 1

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign