''THE STAGE IS WAITING, THE AUDIENCE IS THIRST FOR ADVENTURE!!

THE STAGE PLAY...''THE GREATEST LOVER THE WORLD HAS EVER KNOWN IN FRANCE & BRAZIL WILL BE LIVE ON THIS BEATIFUL STAGE ALL THE FROM HOLLYWOOD''. Very soon,

Mpaka kufikia hapo jukwaa lipo tayari kabisa kutumika ispokuwa matumizi ya taa ndiyo bado ambazo zina fungwa sasa na wataalamu toka nchini Sweden.uhakika wakukamilika ukumbi huu ni ndani ya siku chache za usoni na mambo yatakuwa yamewiva hata kwa upande wa wasanii toka kwenye mitaani,makundi,vuo na nchi za jirani na wadau kutuletea burudani isiyokuwa na maelezo..


Ukumbi ni mkubwa sana amabao umepangiliwa vizuri kupelekea uwezo wakuchukuwa idadi kubwa ya watu wanofikia mia tano wa kila aina kwa maana ya kwamba watu wazima,watoto na bila kusahau walemavu ambao nao wametengewa sehemu yao maalumu. watu wote wataka kaa ghorofa ya juu na hapo chini na kila mtu ataweza kuona vitu vyote vitokeavyo hapo jukwaani..Watayarishaji na wadau nao wapo tayari kabisa, wewe msanii,mtizamaji Je upo tayari?

Posted by Bongo Film Data Base on 3:04 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

2 comments for ''THE STAGE IS WAITING, THE AUDIENCE IS THIRST FOR ADVENTURE!!

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign