HAJI ADAM; JAMANI RAIS WENU NIMETAPELIWA SASA .

Icon wa kiwanda cha filamu Bongo, Haji Adam (Baba Haji)  rais wa serikali ya  wanafunzi TASUBA (Bagamoyo) a.k.a the People's choice juzi kati ameingi a kwenye mkosi na kusononeka sana baada ya kutapeliwa kiasi cha zaidi ya shilingi laki mbili za kitanzania ( 200,000/=)   ikiwa ni malipo ya mwisho kabisa  ya filamu aliyokuwa akiiongoza.


 Filamu aliyoingiza ujzi wake inajilikana  kwa jina la  "NEW DILLEMA" Baba Haji amehusika vizuri katika kuiongoza lakini kampuni iliyomuajiri kuongoza filamu hiyo (jina tunalo) ilimuambia baba haji kuwa asubiri kidogo maana fedha ziliwaishia, ndipo Baba Haji akaamua kutumia ustaarabu wa kusubiri mpaka siku inayofuata. 


Cha kushangaza siku inayofuata Boss wa kampuni hiyo na wenzake wakataka kutoroka bila hata kuwapa taarifa wasanii na Director (Baba Haji) ndipo msamaria mwema akaamua kuwatonya akina Baba Haji na wenzake kuwa wanatapeliwa ndipo wakaamua kuwachukulia sheria mkononi. 

Ndugu mfuatiliaji wetu tutakujuza kila kitu kilichofuata baada ya hapo kupitia moja ya ukurasa wa bongo movie star dada jackline a.k.a Amber.

Posted by Bongo Film Data Base on 9:53 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for HAJI ADAM; JAMANI RAIS WENU NIMETAPELIWA SASA .

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign