CLAUDIO PACIFICO STUNT MEZA MOJA NA WADAU WA FILAMU BONGO

Chama cha Upimaji Filamu Tanzani (TFCA) kupitia kiongozi wake bwana Emmanuel N.M.Manase  amethibitisha uwepo wa mmoja ya watayarishaji filamu huko hoollywood marekani ajulikanae kwa jina la CLAUDIO PACIFICO STUNT mgunduzi na mwongozaji katika taasisi huko marekani itwayo Stunt Concept International  huko nchini marekani. .
Ni saa nane sasa tangu kuzaga kwa habari za Claudio Pacifico  kuwepo ndani ya chama hiki kilichoenea sehemu kubwa ya Tanzania na kwingine kote duniani kupitia ukurasa mmoja maarufu ujulikanao kama Face Book.... 
  
Kwa kifupi sana ukiona au kusikia Tanzania Film Critics Association-TFCA jua ni chama kilichoanzishwa na wanaharakati na kuungwa mkono na wadau mbali mbali wa filamu hapa nchini chini ya uongozi wa bwana Emmanuel kwa nia nzuri kabisa juu ya tasnia hii ya filamu hapa bongo...
Maana na dhumuni la Tanzania Film Critics Association-TFCA ni kama alivyo dadafua kwenye ukurasa wake humo facebook... http://www.facebook.com/groups/info.tfca/ 
Tanzania Film Critics Association-TFCA Selected Panel of difference Professionalism will 
1.Open analyzing and evaluating films submitted for Review ,the reviews will assess the artistic merit and public appeal of a movie more else gauge the general reception a film receives from the Public in General.
Critics will based in all stages of the film ,that is Pre production ,Production and Post production stages. Critics will gave alternative solution to assist the current and future improvement of the film criticized .
2.Promote new Films
3.Promote Actress and Actors
4.Film Industry in general
5.Link different aspect within the Industry
6..Annual the critics will award best position performer within Film Industry. CLAUDIO PACIFICO STUNT;


*Mgunduzi na mwongozaji hapo Satunt Concept International aliyejulika na kutamba kwa filamu zake kali kama;

1.Mission: Impossible III ya mwaka (2006),

2.Gangs of New York ya mwaka (2002),

3.Pirates of the Caribbean: On Stranger Tides ya mwaka (2011),

4.The Talented Mr. Ripley ya mwaka  (1999)


SEHEMU ORODHA YA FILAMU ZAKE KATIKA PICHA;


Gangs of New York ya mwaka (2002), 
Mission: Impossible III ya mwaka (2006),Pirates of the Caribbean: On Stranger Tides ya mwaka (2011),  
SEHEMU YA CHATING KATI YA EMMANUEL NA CLAUDIO PACIFICO  MARA BAADA KUWA MMOJA WA WANACHAMA NI HII HAPA;

BONGO FILM DATA BASE IPO MAKINI KUKULETEA KILA LITAKALO JIRI TOKA KWENYE CHAMA HIKI KUANZIA SASA....
Asante!Posted by Bongo Film Data Base on 10:56 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for CLAUDIO PACIFICO STUNT MEZA MOJA NA WADAU WA FILAMU BONGO

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign