MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA

PIGO LINGINE LAIKUTA TASNIA YA FILAMU NCHI TANZANIA KWA KUMPOTEZA MMOJA YA WAASISI NA MKONGWE ALIYE WAFUNZA NA KUWAELEKEZA WAKALI WOTE TUNAOWAONA LEO HII WAKIFANYA VIZURI KWENYE TASNIA HII YA LEO.WADAU WA FILAMU WAMEMPOTEZA MZEE KIPARA ALIYE FARIKI DUNIA ASUBUHI HII YA LEO TAREHE 11 MWEZI WA KWANZA 2012, MZEE KIPARA HATUNAYE KIMWILI TENA BALI KIROHO TU MPAKA SASA.


BONGO FILM DATA BASE INATOA POLE NYINGI KWA NDUGU,JAAMA, WADAU NA MARAFIKI WA FAMILIA YA MZEE KIPARA KWA WAKATI HUU MGUMU WALIONAO KWA SASA, KWA WALE WATAPENDA KUJUMUIKA NA FAMILIA YA KAOLE SANAA GROUP, MSIBA UPO PALE KIGOGO KWENYE NYUMBA YA KIKUNDI CHA KAOLE SANAA GROUP..MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU WOTE MAHALI PEMA PEPONI...AMEN!TAARIFA KWA KADRI ZITAKAVYOJIRI TUKAKUFAHAMISHENI...

Asante nyingi kwa Natasha kutufikishia taarifa hii..Posted by Bongo Film Data Base on 11:26 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign