GLAMOUR FILAMU INAYOGUSA MAISHA HALISI YA WANA MITINDO TANZANIA

Sophie binti wa kizanzibari aliekuzwa katika mazingira yenye misingi mizuri ya  kidini ya kiislamu ambaye siku zote alivaa vazi rasmi kwa wanawake ama binti wakiisilamu la hijab na hakuwahi kuona wala  kuwa na hata nakala moja ya picha yake kutoka na hali kuwa si nzuri kimaisha waliyokuwanayo yeye na familia yake yote kiujumla, siku moja mtaani tu anapigwa picha na mgeni aliyekwenda kutembea hapo kisiwani Zanziba (mtali).

Sophia alipoiona picha hiyo kwa mara ya kwanza  tu alipenda   na kuhapa kupiga picha maishani yake yote na hata kuonelea awe mwanamitindo kama kina Naomi Campbell aliowaona kwenye television tu kitu ambacho mama yake mzazi hakupendezwa nacho na  kukataa kamwe mwanae kuchukuwa maamuzi hayo .lakini bahati mbaya mama anafariki dunia  na binti anakwenda mjini Daresalam na kumtafuta mmoja ya wana mitndo wazuri hapa nchini Mustafa Hasanal.

 Jitihada za kumtafuta mwana mitindo huyo zinakwenda sawa kama alivyotegemea na hatimaye anafanikiwa kutimiza ndoto yake ya kuwa mwana mitindo lakini anasahau alichotakiwa kukifanya mwishoe tabia mbaya anajifunza na mabaya yanamkuta...

CAST;

Eva Issack
Bond Bin Suleiman
Tekla Mjata
Mustafa Hasanal
Edward Chogula

Directed by Amitabh Aurora.
Produced by Javed Jafferji.Posted by Bongo Film Data Base on 7:39 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for GLAMOUR FILAMU INAYOGUSA MAISHA HALISI YA WANA MITINDO TANZANIA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign