CHAMA CHA WAIGIZAJI KUZIJADILI SHERIA MPYA TOKA BODI YA FILAMU JUMA TATU HII


CHAMA CHA WAIGIZAJI KUPITIA TAFF KIMETANGAZA NA  KUITISHA MKUTANO  JUMA TATU HII YA TAREHE KUMI NA SITA KITACHOFANYIKA KWENYE MAJIRA YA SAA TATU ASUBUHI PALE UKUMBI WA VIJANA SOCIAL HALL ULIYOPO KINONDONI UNAO WAHUSISHA WADAU WOTE NA WATAYARISHAJI FILAMU HAPA NCHINI.

DHUMUNI LA KIKAO HIKI KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA KWENYE UONGOZI WA JUU WA CHAMA CHA WAIGIZAJI MKOA WA KINONDONI KUPITIA MWENYEKITI WAKE  BWANA MIKE SANGU AMESEMA  WADAU WATAKUTANA KUJADILII MAMBO KADHA WA KADHA YA NDANI YAHUSUYO TASNIA HI YA FILAMU HAPA NCHINI NA AJEDA KUU NYINGINE  NI KUZITIZAMA HIZI  SHERIA   MPYA ZILIZOPITISHWA NA BODI YA UKAGUZI FILAMU NCHINI SIKU CHACHE ZILIZOPITA  AMBAZO ZINATAKIWA KUFUATWA NA  KUTEKELEZWA KUANZIA SASA KWA YEYETO ATAKAYE TAYARISHA FILAMU ,

UTAKAPO SOMA TANGAZO HILI TAFADHALI MFAHAMISHE MWENZIO PIA JUU YA SUALA HILI KWANI NI LA MSNGI SANA KWA TASNIA HII HAPA NCHINI HASA KWA WASANII NA WATAYARISHAJI WADOGO NA CHIPUKIZI KUWEZA KUSHINIKIZA KUTOKUWEPO SHERIA KALI  KIASI HIKI KWANI ITAWAUMIZA ZAIDI KIUCHUMI..

MKUTANO HUU ULIPANGWA KUFANYIKA JUZI TAREHE KUMI NA MBILI NA KUAHILISHWA KUTOKANA NA MSIBA WA SAIDI FUNDI KWA JINA MAARUFU MWITE MZEE KIPARA AMBAYE MAREHEMU KWA SASA KITAFANYIKA JUMA TATU. NA MUNGU AILAZE ROHO YA MZEE HUYU MAHALI PEMA PEPONI Amen!


Shukrani nyingi kwa chanzo cha taarifa hii. Susan Lewis (Natasha)
Kama una taarifa au habari tafadhari usisite kutufikishia juu ya dawati letu habari...
Asanteni!
Posted by Bongo Film Data Base on 8:36 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for CHAMA CHA WAIGIZAJI KUZIJADILI SHERIA MPYA TOKA BODI YA FILAMU JUMA TATU HII

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign