CHANGAMOTO KUTOKA KWA NDUGU APILIKE KWA WATAYARISHAJI FILAMU WA HAPA NCHINI KUTOKA KWA NDUGU SASA

CHANGAMOTO YA MDAU HUYU KWA WATAYARISHAJI FILAMU WA HAPA NCHINI IMEKAA WAZI SANA NA IPO KWA MFUMO WA SWALI AMBALO JIBU LAKE HUENDA HATA YEYE MWENYEWE ANALO ILA KUNAPO CHECHE USISHITUKE SANA WE JUA KUNA MSUGUANO HAPO  HIVYO NDUGU APILIKE AKAHOJI WADAU WENGINE KAMA IFUATAVYO ILIKUTENGENEZA CHECHE HIZI KWA LENGO KUU MOJA LA KUONA KITU CHA TOFAUTI NA KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZA MWAFRIKA HUSUSANI MTANZANIA...
APILIKE GORDON;  Filamu za ki-Tanzania zinapromote kwa kiasi gani muziki wetu na ngoma zetu? Tuna nyimbo zozote ambazo zimetumika kama sountrack ktk filamu zetu?
Nawaza kwa sauti...
 
NAKALA HARISI TOKA MTANDAO KUPITIA UWANJA WA TFCA

Filamu za ki-Tanzania zinapromote kwa kiasi gani muziki wetu na ngoma zetu? Tuna nyimbo zozote ambazo zimetumika kama sountrack ktk filamu zetu?
Nawaza kwa sauti...
· · · 10 hours ago


 • Emmanuel Mwakyusa likes this.

  • Emmanuel Mwakyusa HASHAA HATA BAADHI YA MAPRODUCER WAMEIBA NYIMBO ZA WASANII NA KUZITUMIA BILA KUZILIPIAAA HILI BADO HALINA political security na will YAKULISIMAMIA KITHABITIII
   10 hours ago · · 1

  • John Kitime Kiukweli mpango huu ukiwa mzuri unaweza ukazisaidia tasnia zote mbili muziki na filamu kama ilivyo katika Bollywood ya India. Huko kuna filamu ziliuza sana kutokana na kuwa na nyimbo nzuri, na kuna nyimbo ziliuza kutokana na kuweko katika filamu nzuri
   10 hours ago · · 2

  • Apilike Gordon Whitney Houston (RIP) aliigiza movies za "Body Guard" & "Waiting to Exhale" sambamba na kutoa soundtrack albums za movies hizo ambazo ziliuza sana...Muziki unabeba kwa kiasi kikubwa filamu ikawa nzuri, unapotazama movie kuna miziki ambayo ukiisikia inakukaa kichwani mfano soundtrack ya movies za James Bond...
   9 hours ago · · 2

  • Emmanuel Mwakyusa hiii ni ART and when played PETRFECT utashaangaa ni hela kuliko dhahabu ya nyamongo kwa sababu tunaweza kufanya kazi zaidi na zaidi na kiuongeza PRODUCTION lakini dhahabu hatuna ujanja wa kuongeza PRODUCTION ila kuibiwa tuuu
   8 hours ago ·

 

Posted by Bongo Film Data Base on 11:21 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

1 comments for CHANGAMOTO KUTOKA KWA NDUGU APILIKE KWA WATAYARISHAJI FILAMU WA HAPA NCHINI KUTOKA KWA NDUGU SASA

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign