MAONO YA HASSAN MASSANGYA JUU FILAMU ZA BONGO KUPITIA CINEMA HOUSE

Hassan Massangya ; HAKUNA UJUMBE MPYA KWENYE FILAMU ZETU ZAIDI YA USHAWI NA MAPENZI AMBOZO PIA NDANI YA HADITHI HIZO KARIBU FILAMU NYINGI DHANA HIYO YA MAPENZI ZIMEFANANA; IN SHORT NOTHING NEWWWW!!!!!!!........ YAAN BORA LIENDE.. baada ya Hassan Massangya kuandika hilo wadau wengine hakuachia madaa ining'inie  hewani tu hivyo wakawa na haya ya kuchangia pia...


  • Hajeey Said ; Lol
   #concurs all the way
   October 21, 2011 at 11:21pm via mobile
    
    
    
    
    
    
    
    
    
    
  • Shah Native inahitaji uzalendo kutazama bongo movie hata dkd 20 tu za mwanzo.
   ndo filamu zetu lakini, tutafanyaje na wadau wamezipitisha
   October 21, 2011 at 11:35pm via mobile
    
  •  
    
    
    
    
    
    
   Hassan Massangya ; hv unajua hata wawekezaji kutoka nje hakuna kwa sababu hyohyo kaka... embu chek thailand waliovyojitangaza kwa sabab wana vtu vpwa,... inabidi tutafuta k2 ambacho ktatutambulsha sisi kama ndo utambulisho wa filam za kbongo... yaan nadhan umenpata nnachomaanisha.
   October 21, 2011 at 11:42pm · 1
    
    
    
    
  • Alex Ngaweje; ni kweli lakini kuna filamu moja ya kanumba amemshirikisha ransey noah wa nigeria inaitwa DEVIL kINGDOM angalau wamejitaidi hakuna ujumbe wa mapenzi yamejadiliwa maswali muhimu kuhusu dini, mungu mambo ya imani, ukiangalia unaweze usiende kanisani au msikitini tena angalau wamejitaidi inawezekana wamefuatisha DA VINCI CODE ya tom hanks
   October 25, 2011 at 11:55am
    
    
    
    
  • Shah Native; Hiyo Filamu mpya ya Kanumba nimeitazama. its too philisophical, na wamejitahidi kiasi. Tatizo ni kwamba, hiyo filamu dialogue ni nyingi sana utafikiri mchezo wa radio. Yani unachek onesho moja ambalo limejaa mazungumzo zaidi ya dakika 25. Ni bora wangeandika Kitabu!
   Pili, filamu na Idea yake imefosiwa sana. Visa vingi na matukio yasiyo na Uhalisia. though, concept ni nzuri na nimependa upigaji picha kidogo.
 

Posted by Bongo Film Data Base on 9:46 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

4 comments for MAONO YA HASSAN MASSANGYA JUU FILAMU ZA BONGO KUPITIA CINEMA HOUSE

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign