KESHO Bw. RICHARD NDUGURU MTALAAMU TOKA UDSM ATAZUNGUMZA NA WADAU WA FILAMU KWENYE JUKWAA LA SANAA(BASATA)


KAZI YA FILAMU HADI  KUKAMILIKA INAHITAJI  TAALUMA NYINGI  KAMA UANDISHI WA MUSWADA (SCRIPT), UONGOZAJI n.k TAALUMA  HIZI NI TOFAUTI NA ZENYE KUHITAJI UBOBEZI WA KINA   HALI IKOJE HAPA KWETU? JUMATATU HII SAA NNE ASUBUHI KATIKA JUKWAA LA SANAA ,BASATA KUTAKUWA NA MTAALAM KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM AKIELEZEA MGAWANYO KATIKA  TAALUMA HIZI ZA FILAMU ...

BONGO FILM DATA BASE INAKUSII  USIKOSE KUHUDHULIA JUKWAA HILI NA TAFADHALI WA FAHAMISHE WADAU WENGINE PIA...
Posted by Bongo Film Data Base on 12:29 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for KESHO Bw. RICHARD NDUGURU MTALAAMU TOKA UDSM ATAZUNGUMZA NA WADAU WA FILAMU KWENYE JUKWAA LA SANAA(BASATA)

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign