SHARO MILIONEA AJIENGUA NA KUWAACHA MASELE NA MZEE MAJUTO KUNDINI

Juma Hussein Mkiety mchekeshaji  na msanii wa muziki wa kizazi kipya (bongo fleva ) anayetamba na vibao vyake kwa sasa kwenye chati mbali mbali  muziki hapa nchini Tanzania muzuki za muziki wa aina anaoufanya kijana huyu vibao vyake vinabamba sana mitaani kwani vinachezeka kwa kirahisi zaidi kutokana na midundo yake kuwa yenye mahadhi ya midundiko iliyo ya kiafrika.

Hivi karibuni Juma a.k.a Sharo milionie amejitoa rasmi Al-Haramain, kampuni iliyowafadhili kama kikundu cha vichekesho lenye makani yake makuu huko mjini Tanga . kundi hilo lilkuwa likianda vipindi kwenye vituo mbalimbli vya televisheni hapa nchi na matoleo kadha wa kadha ya chekesho vilivyochapishwa kwenye cd na dvd kisha kisambazwa mitaani..

sababu za kimsingi za  Juma Hussein kujienguwa kundini  humo ni za yeye kukosa muda wa kutosha kufanya muziki kutokana kukaa kambini kwa muda mrefu sana kwa taklibani miezi sita na kipato kinakuwa si cha kutosheleza  kwa maisha ya sasa.ijapokuwa Al- Haramain wamechangia kwa asilimia kubwa kutoka na kukubalika kwa jina la Sharo Milionea kutipia projet yao waliwahi ifanya kwenye televishenni ya vituko show.

Vituko Show , kundi la lilo sheheni vituko vingi vinavyotayarishwa na mastaa kibao kwenye upande wa ucheshi kama Mzee Majuto ama mwite King Majuto naye ataitika pale utakapo mwita kuashilia yakuwa hujakosea wala kumkwaza mzee huyo,  msele cha pombe na wengine kibao...

kuchukuwa uamuzi huu na kujiengua kwa  Hussein a.k.a Sharo Milionea  kwenye familia hiyo kwa madai ya kubanwa sana kimaslihi na hupoteza muda mwingi wanapokuwa kambini kwa taklibani miezi sita na pesa yenyewe inakuwa ni ya mbuzi kwa maana ya pesa hiyo inakuwa ni kidogo kuna uweka wazi milango kwa  umma na wa tayarishaji vichekesho,matangazo,muziki na hata filamu Juma anaweza kukamua vilivyo vyema zaidi kwani mfano ipo wazi kabisa kwa pande zote hizo, kwa filamu zenye umakini kama nyingine zote anawazihilishia anaweza kutokana na kucheza  filamu ya CHUMO ambayo iliandaliwa na watayarishaji bomba na wakongwe haswaaa!, upande wa ucheshi ndo usimese kabisa kwani hilo hana maneo mengi sana kwani kazi ailzoshiriki nyingi zipo mtaani kwa sasa na kwa upande wa muziki ndiyo  hivyo vibao vinafanya poa kwa sasa....

 KAULI MFANANO ; SHARO MILONEA; najiengua kundini na ninaingia mtaani kuendeleza vipaji vyangu vya sanaa kwenye upande wa uigizaji  na kuimba ambako kwa sasa kunanilipa haraka tofauti na kwenye uigizaji  tu ijapokuwa bado anaendelea na ucheshi kama kawaida ..Posted by Bongo Film Data Base on 12:04 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for SHARO MILIONEA AJIENGUA NA KUWAACHA MASELE NA MZEE MAJUTO KUNDINI

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION

Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign