WADAU TWAOMBWA KUMCHANGIA SAJUKI
Posted by bongofilmdatabase
habari,
mpya,
slide,
workshop
9:31 AM
Habari wadau asante Zoezi linaendelea SHUKRANI KWA
WALE WOTE WALIOGUSWA.
TUMCHANGIE SAJUKI KWA A/C NO. 050000003047 Akiba
Commercial Bank pia Tigo Pesa
0713 666 113. Umoja, Upendo tuungane wote.
WADAU wa tasnia ya filamu Swahiliwood tunaomba
msaada wa hali na mali kwa ajili ya
matibabu ya mtayarishaji, muongozaji na mwigizaji mahiri
katika tasnia ya filamu Juma
Kilowoko ‘Sajuki’ , msanii wetu huyo amekuwa
akisumbuliwa na maradhi ya tumbo, hivi
karibuni alikuwa nchini India kwa ajili ya matibabu na kurudi
nyumbani.