STADI ZA UANDISHI SCRIPT NA JAMES GAYO

Kama kawaida ya jukwaa la sanaa lifanyikalo pale ukumbi wa balaza la sanaa taifa BASATA kila juma tatu kuanzia kwenye majira ya saa nne mpaka nyakati za mchana. jumatatu hii ambayo ni kesho ya tarehe 18/06/2012 litamleta Bw. James Gayo kuzungumzia stadi za uandushi wa miswada ya sinema[script writing skill]  kit ambacho ni ndiyo nguzo kuu ya katika  kuzifanya filamu zetu kuwa za kitaalamu na zenye kuvutia..

Darasa hili ni mahususi kuhusu sanaa ya filamu katika eneo la script litakalo na Bw.James Gayo.

Posted by bongofilmdatabase on 2:48 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for STADI ZA UANDISHI SCRIPT NA JAMES GAYO

Post a Comment

LETS HOOK UP

.

.
.
slide

SIRI YA MTUNGI PHOTO CAPTION


Recently Commented

ALBUM YA BONGOFILM

SIMULIZI ZILIZOBAMBA KWENYE KURASA ZA KIJAMII

TAKE ONE -HBABA NA FLORA INTERVIEW

2009 Bongofilmdatabase. All Rights Reserved. - Designed by Oscar kwa ushirikiano wa SimplexDesign